GET /api/v0.1/hansard/entries/1553444/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1553444,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1553444/?format=api",
"text_counter": 22,
"type": "speech",
"speaker_name": "ODM, Nominated",
"speaker_title": "Hon. Irene Mayaka",
"speaker": null,
"content": " Mhe. Spika, naomba kuwasilisha waraka ufuatayo Mezani: Ripoti ya Kamati ya Utangamano wa Kikanda kuhusu ukaguzi wa asasi zisizo huru kikamilifu za Jumuia ya Afrika Mashariki na ushoroba wa kati katika Jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Shukran."
}