GET /api/v0.1/hansard/entries/1555081/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1555081,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1555081/?format=api",
"text_counter": 545,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kikuyu, UDA",
"speaker_title": "Hon. Kimani Ichung’wah",
"speaker": null,
"content": " Asante, Mhe. Spika wa Muda. Naomba kuwasilisha hoja kwamba Bunge likubaliane na Kamati kuhusu kuzingatia Mswada wa Marekebisho ya Ushuru wa Bidhaa, Mswada wa Bunge la Taifa Nambari. 7 wa Mwaka 2025. Ningependa kumwomba Mhe. Zamzam aunge mkono."
}