GET /api/v0.1/hansard/entries/1558421/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1558421,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1558421/?format=api",
    "text_counter": 242,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Chimera",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Mapendekezo ya Sen. Sifuna ya kwamba wachezaji wote waweze kijisajili katika makundi tofauti tofauti ili waweze kupata fedha kutoka kwa Serikali ni jambo la maana sana."
}