GET /api/v0.1/hansard/entries/1560353/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1560353,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1560353/?format=api",
"text_counter": 304,
"type": "speech",
"speaker_name": "Matuga, ANC",
"speaker_title": "Hon. Kassim Tandaza",
"speaker": null,
"content": "tutatumia vitengo mbalimbali vya Serikali ili visitumiwe na mabwanyenye kuhaini hatua za Serikali na kuwanyanyasa wananchi. Wakati umefika wa Bunge kuchukua hatua dhabiti ya kulinda wananchi wake. Ahsante."
}