GET /api/v0.1/hansard/entries/1562932/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1562932,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1562932/?format=api",
"text_counter": 72,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Bw. Spika kinachoniudhi zaidi ni yakwamba Mhe. Were alikuwa amesema maisha yake yalikuwa hatarini. Mkuu wa polisi wa Jamhuri ya Kenya alifanya nini kuzuia yaliyotendeka? Haya ni maswali yasiyopatata jawabu."
}