GET /api/v0.1/hansard/entries/1566044/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1566044,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1566044/?format=api",
"text_counter": 94,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Swali langu ni kama Wizara yako iko na hesabu au data ambayo inaweza kuonyesha usaidizi wote wa kina mama katika taifa la Kenya, ambao wanaweza kufikia yale masoko ambayo yanaweza kuwasaidia katika biashara zao. Asante."
}