GET /api/v0.1/hansard/entries/1566198/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1566198,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1566198/?format=api",
"text_counter": 248,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wafula",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Wanafunzi hawa wanatoka Bonde la Ufa. Mwanariadha shupavu Kipchoge alisema katika dunia hii hakuna kisichowezekana. Binadamu anawezafanya chochote kwa utilimifu wa wakati wake."
}