GET /api/v0.1/hansard/entries/1566862/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1566862,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1566862/?format=api",
"text_counter": 279,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, tutapendekeza katika Mswada wa Marekebisho ya Sheria ya Uchimbaji wa Madini kwamba Serikali ya Kitaifa, serikali za kaunti na jamii zinazoathirika zipokee royalties zao kando kando."
}