GET /api/v0.1/hansard/entries/1567672/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1567672,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1567672/?format=api",
"text_counter": 154,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Hii Kamati ya Ugatuzi na Mahusiano ya Kanda isikomee Kakamega. Ivalie suala hili njuga na kutembelea kaunti zote, ili kubaini miradi iliyokwama ambapo fedha nyingi zimeingizwa wakati hakuna chochote kimepatikana kwa muda wote huu."
}