GET /api/v0.1/hansard/entries/1567692/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1567692,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1567692/?format=api",
"text_counter": 174,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bw. Naibu wa Spika, hakujatangazwa lakini unajua kuna Waziri alipewa kiti na ile siku Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) itatangaza, kutakuwa na by-election . Ninajua Kiongozi wa Wengi atakuwa kule kwa sababu ameongea maneno ya hii shule, masaa mawili yaliyopita."
}