GET /api/v0.1/hansard/entries/157329/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 157329,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/157329/?format=api",
    "text_counter": 402,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "sababu mvua imepungua hapa nchini. Kwa muda wa miaka miwili, tumekuwa tukiendelea kuteseka. Kwa hivyo, ninampongeza Rais kwa kuhakikisha kuwa Serikali yake imetenga pesa za kunyunyuzia mashamba ili watu wapate chakula pahali popote walipo."
}