GET /api/v0.1/hansard/entries/1613675/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1613675,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1613675/?format=api",
"text_counter": 94,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Asante, Bw. Naibu Spika. Ninajua maziwa inapatikana Kenya nzima. Lakini, wakulima ambao wako na shida ya maziwa ni wale wa kutoka kule Mlima; Embu, Tharaka-Nithi, Meru na Kirinyaga. Mimi nimetaja ile kona ambayo ninajua iko na shida. Kama mambo ya kahawa---"
}