GET /api/v0.1/hansard/entries/1613754/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1613754,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1613754/?format=api",
"text_counter": 173,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Karibuni na mjisihi huru. Mnaweza kutembea na kusoma mengi ambayo yanatendeka. Nawahakikishia kwamba mlichagua mtu ambaye ni stadi. Alipofika hapa, tulimchagua awe Naibu Spika na anafanya kazi yake vilivyo."
}