GET /api/v0.1/hansard/entries/1625481/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1625481,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1625481/?format=api",
    "text_counter": 232,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": null,
    "content": "Wakati wowote watu wanapofikiria mambo ya Pwani, wanafikiria ni mahali pa utalii pekee. Pia, Pwani kuna wakulima. Zile barabara zinatengenezwa zafaa kwenda pia upande wa ukulima."
}