GET /api/v0.1/hansard/entries/1625487/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1625487,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1625487/?format=api",
    "text_counter": 238,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Ikiwa kuna wahuni wanaoingilia maandamano na kuleta vurugu, kuiba, kudhulumu na kuumiza wananchi, kuna mpangilio unaofaa kufuatwa wa kushikwa, wapelekwe kortini na kuhukumiwa kwa sababu sheria zetu zinasema mtu hana hatia mpaka ithibitishwe kortini."
}