GET /api/v0.1/hansard/entries/162597/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 162597,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/162597/?format=api",
    "text_counter": 582,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kutuny",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 61,
        "legal_name": "Joshua Serem Kutuny",
        "slug": "joshua-kutuny"
    },
    "content": "Vile vile, Bw. Naibu Spika wa Muda, natoa changamoto kwa Serikali kwamba, kutokana na Ripoti ambayo imeletwa hapa--- Serikali imepoteza pesa zaidi ya Kshs3.5 bilioni katika sakata ya ufisadi katika halmashauri hiyo. Tungependa hatua kali ichukuliwe ili iwe kielelezo na mfano mzuri"
}