GET /api/v0.1/hansard/entries/173541/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 173541,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/173541/?format=api",
    "text_counter": 584,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Haji",
    "speaker_title": "The Minister of State for Defence",
    "speaker": {
        "id": 26,
        "legal_name": "Yusuf Mohammed Haji",
        "slug": "yusuf-haji"
    },
    "content": "Serikali haikukataa kuwapatia walimu nyongeza. Walijadiliana na wakakubaliana. Shida iliyoko ni kwamba Serikali inasema: \"Kwa wakati huu, hatuna pesa za kutosha. Tumekubaliana na nyinyi. Tuko tayari kuwapatia nyongeza hiyo lakini tutafanya mipango ya kuwalipa kwa muda.\""
}