GET /api/v0.1/hansard/entries/174363/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 174363,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/174363/?format=api",
    "text_counter": 675,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Muthama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 96,
        "legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
        "slug": "johnson-muthama"
    },
    "content": "Ile sehemu alipozaliwa ndipo alimoishi Rais wa Marekani, Bw. Roosevelt. Kwa hivyo, ninajivuna sana na kujisikia kwamba nina uhusiano mkubwa na kaka yetu ambaye ameshinda urais katika nchi ya Marekani."
}