GET /api/v0.1/hansard/entries/175382/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 175382,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/175382/?format=api",
"text_counter": 166,
"type": "speech",
"speaker_name": "Bi Leshomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "alimuuliza Waziri wa Maji na Unyunyizaji:- (a) anachukua hatua gani kuhakikisha kuwa mabwawa yaliyozibwa na mchanga katika Wilaya ya Samburu yamerekebishwa; na, (b) Serikali ina mipango gani kuchimba visima katika eneo hilo ili kukomesha shida ya ukosefu wa maji."
}