GET /api/v0.1/hansard/entries/176938/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 176938,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/176938/?format=api",
"text_counter": 114,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Speaker",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Hata kabla hujalijibu swali la mhe. K. Kilonzo, Waziri Msaidizi, hujajibu swali ambalo uliulizwa. Umeulizwa utachukua hatua gani kuhakikisha kwamba wananchi wamehusishwa katika uchaguzi wa wanakamati?"
}