GET /api/v0.1/hansard/entries/190314/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 190314,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/190314/?format=api",
"text_counter": 30,
"type": "speech",
"speaker_name": "Ms. Leshomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Bw. Spika, nimeshtuka sana kusikia kwamba Waziri Msaidizi hana jibu ilhali watu wanakufa na mali yao kuibwa. Watoto wameacha shule. Hakuna mtoto aliye shuleni katika tarafa hizo zote. Pia watoto wanakufa. Tarehe 1 Julai, 2008, nililia machozi nilipopigiwa simu kwamba watu wanakufa. Je, Serikali ina mpango gani kusimamisha vita hivyo? Kwa wakati huu, kuna njaa huko. Watu wanakufa na ng'ombe wanaibwa. Je, tutaelekea wapi?"
}