GET /api/v0.1/hansard/entries/190316/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 190316,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/190316/?format=api",
"text_counter": 32,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Speaker",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Order, Bi. Leshomo! Order, Hon. Members! Bi. Leshomo, Waziri Msaidizi wa Wizara ya Utawala wa Mikoa na Usalama wa Ndani amesema kwamba hana majibu leo na anahitaji muda ili aweze kujitayarisha na akujibu haraka iwezekanavyo. Sasa nimekuuliza: Je, utakubali Waziri Msaidizi apewe muda? Hii ni kwa sababu ni muhimu akujibu na akujibu vizuri."
}