GET /api/v0.1/hansard/entries/207327/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 207327,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/207327/?format=api",
"text_counter": 120,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mwandawiro",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 253,
"legal_name": "Mwandawiro JD Mghanga",
"slug": "mwandawiro-mghanga"
},
"content": "Jambo la nidhamu, Bw. Naibu Spika wa Muda. Swali langu lilikuwa linamuuliza Waziri Msaidizi: Kulingana na vile sasa kuna taasisi nyingi ambazo zinasimamia maji, je ni kazi gani hasa imebaki kwa Wizara ya Maji na Unyunyizaji?"
}