GET /api/v0.1/hansard/entries/208499/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 208499,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/208499/?format=api",
"text_counter": 139,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mukiri",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 334,
"legal_name": "Mukiri Macharia",
"slug": "mukiri-macharia"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, ninaweza kufanya hivyo, ingawa Wizara ya Ardhi wanalielewa hili jambo na walisema kwamba watachukua hatua. Hili ni mojawapo ya mashamba yaliyokuwa katika Ripoti ya Ndung'u. Lakini hiyo inawezekana."
}