GET /api/v0.1/hansard/entries/213864/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 213864,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/213864/?format=api",
"text_counter": 58,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mwandawiro",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 253,
"legal_name": "Mwandawiro JD Mghanga",
"slug": "mwandawiro-mghanga"
},
"content": "Bw. Spika, tatizo la watu kujeruhiwa hata kuuawa na wanyama wa porini kama vile nyoka, ndovu, simba na fisi ni halisi na linaendelea sana, hasa katika Wilaya ya Taita-Taveta. Je, Wizara ina mipango gani halisi ya kuwafidia watu mara moja wakati wamekumbwa na tatizo kama hilo? Hesabu ya Kshs200,000 hazitoshi kumfidia binadamu ambaye amejeruhiwa na mnyama ama kuuawa?"
}