GET /api/v0.1/hansard/entries/214600/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 214600,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/214600/?format=api",
"text_counter": 69,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mwandawiro",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 253,
"legal_name": "Mwandawiro JD Mghanga",
"slug": "mwandawiro-mghanga"
},
"content": "Bw. Spika, ninashangaa! Huyu Waziri anatoka Mkoa wa Pwani na anaelewa sana kwamba katika mbuga ya wanyama pori ya Tsavo kuna wanyama pori wengi. Watu wa eneo kama Taita-Taveta hawafaidi chochote na huku kando nyama hii inauzwa katika mahoteli. Je tutaendelea kuwaambia watu wetu wachunge hizo kanga ili kutosheleza mahitaji ya mabepari wakati hawapati chochote?"
}