GET /api/v0.1/hansard/entries/215159/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 215159,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/215159/?format=api",
"text_counter": 90,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Nyachae",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 342,
"legal_name": "Simeon Nyachae",
"slug": "simeon-nyachae"
},
"content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, hawa waheshimiwa wanamwekelea Rais maneno kwa mdomo wake. Mimi niko na kanda za huo mkutano. Rais alienda hata Wundanyi na alisema: \"Hizi barabara zote ambazo mnauliza, zitaangaliwa na zitatengenezwa\". Hiyo ni kumaanisha nini?"
}