GET /api/v0.1/hansard/entries/226176/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 226176,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/226176/?format=api",
"text_counter": 302,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. K. Kilonzo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 172,
"legal_name": "Julius Kiema Kilonzo",
"slug": "kiema-kilonzo"
},
"content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, hoja ya nidhamu yangu ilikuwa inahusu majambazi ambao wako Serikalini ambao hajatueleza ni nani. Ni heri atueleze hao ni akina nani. Kama kweli hana ushahidi wa kutosha, basi aondoe madai hayo."
}