GET /api/v0.1/hansard/entries/237789/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 237789,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/237789/?format=api",
    "text_counter": 281,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mwandawiro",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 253,
        "legal_name": "Mwandawiro JD Mghanga",
        "slug": "mwandawiro-mghanga"
    },
    "content": "Jambo la nidhamu, Bw. Spika. Umesema kwamba wachache pia wapewe nafasi wazungumze. Mimi nilikuja hapa kupitia chama cha FORD(P). Wenzangu wakaniacha wakaenda upande ule wa Serikali. Jambo ambalo naomba kusema---"
}