GET /api/v0.1/hansard/entries/238018/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 238018,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/238018/?format=api",
"text_counter": 164,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mwandawiro",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 253,
"legal_name": "Mwandawiro JD Mghanga",
"slug": "mwandawiro-mghanga"
},
"content": "Bw. Spika, tume ya kuwaajiri walimu ambayo ni ya wasomi na wataalamu, inaweza kuenda katika Wilaya ya Taita-Taveta na kutoa ripoti ya ukweli? Je, Waziri Msaidizi atakubali tuende na yeye katika Wilaya ya Taita-Taveta wiki ijayo ili akajionee vile ripoti ya kupotosha ilitolewa na tume ya kuwaajiri walimu? Anafaa kukubali tuende mara moja ikiwa anataka kuwatendea haki walimu wa Taita-Taveta."
}