GET /api/v0.1/hansard/entries/251892/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 251892,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/251892/?format=api",
"text_counter": 126,
"type": "speech",
"speaker_name": "Capt. Nakitare",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 348,
"legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
"slug": "davis-nakitare"
},
"content": "Bw. Spika, watu hao wamezaa watoto nje ya mashamba yao. Je, tunapowashungulikia mayatima wa wazazi waliokufa kutokana na ukimwi, Serikali ina mipango gani ya kuwaelimisha, kuwalisha na kuwavalisha watoto waliozaliwa barabarani?"
}