GET /api/v0.1/hansard/entries/256007/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 256007,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/256007/?format=api",
"text_counter": 75,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mwandawiro",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 253,
"legal_name": "Mwandawiro JD Mghanga",
"slug": "mwandawiro-mghanga"
},
"content": "Bw. Spika, umemsikia mhe. Obwocha akisema kwamba chama cha FORD(P) kinapatikana katika pande mbili humu Bungeni; kiko upande wa Upinzani na upande wa Serikali. Huo ni ukweli. Suluhu ambayo mimi napendekeza ni kwamba hizo nafasi zipatiwe wale Wabunge wa FORD(P) ambao wako upande wa Upinzani."
}