GET /api/v0.1/hansard/entries/261705/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 261705,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/261705/?format=api",
    "text_counter": 94,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Hassan",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 398,
        "legal_name": "Yusuf Hassan Abdi",
        "slug": "yusuf-hassan-abdi"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika. Waziri Msaidizi amesema Mawaziri wa Afrika Mashariki wamesikilizana kulishughulikia swala hili la kwekwe. Pengine angetunufaisha na kutuelimisha hapa katika Bunge, Mawaziri hawa wana bajeti ya shilingi ngapi? Na ni jinsi gani watashughulikia matatizo tuliyonayo kwenye ziwa letu hapa nchini Kenya?"
}