GET /api/v0.1/hansard/entries/270531/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 270531,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/270531/?format=api",
"text_counter": 418,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Deputy Speaker",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Order! Mhe Mbuvi unasimama kwa jambo la nidhamu maanake kama nidhamu imekiukwa. Ungesema kitu ambacho Mbunge wa Kandara alikuwa amekiuka. Hujaeleza jambo alilokiuka mbunge wa Kandara."
}