GET /api/v0.1/hansard/entries/272950/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 272950,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/272950/?format=api",
"text_counter": 296,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "La mwisho, Mhe Naibu Spika, ni kuwa wengi wametoa maoni kuwa tukienda katika ugatuzi, fund hii ipelekwe kwa magavana. Maoni yangu ni tofauti; naomba fund hii ibaki pale ilipo ili Wabunge wapate kuishughulikia na wakamilishe miradi ambayo tunaihitaji hapa nchini."
}