GET /api/v0.1/hansard/entries/29938/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 29938,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/29938/?format=api",
"text_counter": 687,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "kuleta vurumai katika nchi yetu. Wakenya wanataka kujua ukweli wa mambo mabaya yaliyotendewa watu wetu. Ni ukweli tu ambao utatuweka huru. Kwa hayo machache, ninaunga mkono Hoja hii."
}