GET /api/v0.1/hansard/entries/32633/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 32633,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/32633/?format=api",
    "text_counter": 273,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Gaichuhie",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 17,
        "legal_name": "Nelson Ributhi Gaichuhie",
        "slug": "nelson-gaichuhie"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, watoto wengi walioko mitaani Nakuru ni mayatima. Hawana wazazi. Wazazi wao walifariki wakati wa heka heka za vita vya 2007/2008. Je, Serikali ina mipango gani ya kuwajengea watoto hawa makao mjini Nakuru?"
}