GET /api/v0.1/hansard/entries/333724/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 333724,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/333724/?format=api",
    "text_counter": 232,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kimunya",
    "speaker_title": "The Minister for Transport",
    "speaker": {
        "id": 174,
        "legal_name": "Amos Muhinga Kimunya",
        "slug": "amos-kimunya"
    },
    "content": " Bw. Naibu Spika, nilitaka kumuuliza Naibu wa Kiranja wa Bunge pahali atampata Waziri kwa sababu hiyo ni moja ya kazi zake - kuwaleta wote hapa Bungeni. Lakini Waziri alikuwa na shughuli nyingi leo. Ningeomba tumpatie nafasi nyingine wiki ijayo ili awasilishe Taarifa hiyo ambayo ilikuwa inahitajika."
}