GET /api/v0.1/hansard/entries/3364/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 3364,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/3364/?format=api",
    "text_counter": 209,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Dr. Shaban",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, ningependa kumueleza Mbunge mwenzangu kwamba hawa watu wane, ambao hawako kwenye orodha, hawajawahi kulipwa hata mara moja; kwa sababu hiyo, watafikiriwa kuwekwa katika orodha ya walengwa wakati watu watakapokuwa wakiongezewa; kama watafaa kuwa kwenye orodha, basi wataorodheshwa. Kwa sasa, hawako kwenye orodha ya walengwa tuliyo nayo."
}