GET /api/v0.1/hansard/entries/352345/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 352345,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/352345/?format=api",
    "text_counter": 305,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Member for Kuria East",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Ningependa kukupongeza kwa kuchaguliwa kuwa Spika katika Bunge la Katiba mpya. Pia, ningependa kuwapongeza wenzangu waliochaguliwa kuja katika Bunge hili, ambalo ni kubwa sana."
}