GET /api/v0.1/hansard/entries/357456/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 357456,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/357456/?format=api",
"text_counter": 69,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Dr). Shaban",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": "Mheshimiwa Spika, kazi na majukumu ya Serikali ya Kitaifa yamewekwa katika Fourth Schedule ya Katiba. Pia, kazi na majukumu ya serikali za ugatuzi yameonyeshwa. Inafaa magavana waelewe majukumu yao na yale ya Serikali ya Kitaifa."
}