GET /api/v0.1/hansard/entries/359671/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 359671,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/359671/?format=api",
"text_counter": 135,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bima tunayozungumzia inaweza kuleta matatizo baadaye, kwa sababu hakuna mwaka ambao ngâombe hawafi. Wakati wa nyuma kwetu Kinango ndiko kulikuwa na soko kubwa zaidi la kuuza wanyama na ngozi. Hivi sasa, watu wangu wanashangaa kusikia Mbunge aliyenitangulia kuongea akisema kwamba mashamba yetu yanakaa bure. Hatutaki yakae bure. Lakini ngâombe wetu wanakufa. Kwa hivyo, ningeomba awe na shukurani kwa sababu tumewaachia nafasi. Wakati tutakapopata pesa za kunyunyuzia maeneo yetu maji, wanyama wao hawatakuja kwetu kwa sababu tutakuwa na wanyama wa kutosha."
}