GET /api/v0.1/hansard/entries/361613/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 361613,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/361613/?format=api",
    "text_counter": 271,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, nikimalizia ningependa kusema kwamba wavuvi wa Turkana wanahitaji msaada wa kifedha wapewe bure na Serikali ili upate kuwasaidia katika kununua vifaa vzuri kama neti; hii itafanya hali yao ya maisha kuinuka."
}