GET /api/v0.1/hansard/entries/362321/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 362321,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/362321/?format=api",
    "text_counter": 129,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 252,
        "legal_name": "Ali Wario",
        "slug": "ali-wario"
    },
    "content": "Katika Kifungu 94 (1) cha Katiba ya Kenya kinatoa mamlaka ya kipekee itakapokuja kwa maswala ya utunzi wa sheria. Si Utawala ama Mahakama. Ni Bunge lenye mamlaka ya kutunga sheria."
}