GET /api/v0.1/hansard/entries/362327/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 362327,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/362327/?format=api",
"text_counter": 135,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 252,
"legal_name": "Ali Wario",
"slug": "ali-wario"
},
"content": "Ahsante mhe. Naibu Spika. Kifungu cha 94 (5) kinasema hivi:- Hakuna mtu, chuo au taasisi ambayo itatunga sheria bila kupewa fursa ya Kikatiba na Bunge hili. Sasa mimi nauliza: Kwani hii Tume ya Sarah Serem imetoa mamlaka hiyo wapi? Kifungu 41 cha Katiba kinasema: Kila mfanya kazi apewe huduma, aki na usawa."
}