GET /api/v0.1/hansard/entries/363525/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 363525,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/363525/?format=api",
    "text_counter": 115,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Kwa hayo machache, ninafuraha na nimpongeza Rais. Ninawaomba Wabunge kutoka pande zote za Bunge hili tuungane mkono tuipitishe Hoja, ambayo ni zawadi itaenda kwa jamii ya wafugaji na watu wa Pwani."
}