GET /api/v0.1/hansard/entries/371190/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 371190,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/371190/?format=api",
"text_counter": 255,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Huka",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2240,
"legal_name": "Mohamed Adan Huka",
"slug": "mohamed-adan-huka"
},
"content": "Asante kwa kunipatia nafasi hii Mhe. Naibu Spika. Ninasimama kuunga mkono Hoja hii si kwa sababu haya ni mambo mapya ambayo yameletwa. Kuna methali ambayo inasema: âBaniani mbaya kiatu chake dawa.â Hii inamaanisha kwamba hata kama Hoja hii imeletwa na CORD, ina faida kwa Jubilee kwa sababu Serikali ya Jubilee ni Serikali ya kusema na kutenda."
}