GET /api/v0.1/hansard/entries/371442/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 371442,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/371442/?format=api",
    "text_counter": 507,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Mhe. Naibu Spika wa Muda, jambo ambalo tunafaa kuliangazia kabisa ni manufaa yapi ambayo yatajitokeza ikiwa kutakuwa na umeme katika nyumba nyingi katika nchi hii. Jambo linalojitokeza kwanza ni hili: Tutaweza kuwazuia watu wetu kupata maradhi ambaye hutokana na kutumia taa ambazo zinatoa moshi ambao sio mzuri kwa afya zetu."
}