GET /api/v0.1/hansard/entries/382246/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 382246,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/382246/?format=api",
"text_counter": 143,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Kwa nini mtu aseme kwamba kuna mtu ambaye hajulikani hali yake? Sasa hivi, nikitaka kujua yale yanayoendelea katika nyumba yangu, nitaenda katika google . Kwa hivyo, kila mmoja wetu anafaa kujulikana alipo na shida yake kutatuliwa mara moja."
}