GET /api/v0.1/hansard/entries/398088/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 398088,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/398088/?format=api",
"text_counter": 223,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Leshoomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Asante sana mhe Naibu Spika wa Muda. Mimi pia naunga mkono Hoja hii. Ningesema tu ukweli ni kwamba hawa homeguard s ama policereservists ni askari ambao sisi tuko nao. Askari wa Serikali ni wachache. Wengine pia wanachunga maeneo wanakopelekwa, na ndio maana tunamshukuru Mhe Lentoimaga kwa kuleta Hoja hii; kwa kweli eneo lake linahitaji hawa askari wa nyumbani. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}